Kibukitan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibukitan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wabukitan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibukitan imehesabiwa kuwa watu 570 nchini Indonesia na 290 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibukitan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibukitan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.