Kibugis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibugis ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wabugis kwenye kisiwa cha Sulawesi. Wabugis pia wamehamia visiwa vya Kalimantan, Maluku, Papua na Sumatra. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibugis imehesabiwa kuwa watu milioni tano nchini Indonesia na 17,800 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibugis iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibugis kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.