Nenda kwa yaliyomo

Kibughotu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibughotu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wabughotu kwenye visiwa vya Santa Isabel na Furona. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibughotu imehesabiwa kuwa watu 4050. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibughotu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibughotu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.