Kibuamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibuamu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wabuamu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibuamu imehesabiwa kuwa watu 186,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuamu iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.