Kibozo-Tiemacewe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibozo-Tiemacewe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wabozo. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitiemacewe imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitiemacewe iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibozo-Tiemacewe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.