Kibolgo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibolgo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wabolgo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibolgo imehesabiwa kuwa watu 1800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibolgo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibolgo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.