Kibofu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Kibofu kwa jinsia ya kiume

Kibofu (kwa Kiingereza: urinary bladder) ni kifuko kinachotunza mkojo kabla haujatolewa nje ya mwili wa binadamu na wanyama.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibofu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.