Kibofi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibofi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabofi. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibofi imehesabiwa kuwa watu 23,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibofi iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibofi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.