Kibishuo
Mandhari
Kibishuo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun. Mwaka wa 1986 kulikuwepo msemaji mmoja wa Kibishuo tu. Kwa hiyo lugha imetoweka kabisa kwa sasa, na Wabishuo wanatumia lugha ya Kijukun badala ya lugha yao. Uainishaji wa lugha hiyo ndani ya lugha za Kiniger-Kongo haujatafitiwa; labda iko ndani ya kundi la Kijukunoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibishuo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibishuo Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibishuo katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibishuo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibishuo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |