Kibirifor-Malba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibirifor-Malba (au Kibirifor-Kaskazini) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabirifor. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibirifor-Malba nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 108,000. Idadi ya wasemaji nchini Cote d'Ivoire haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibirifor iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibirifor-Malba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.