Kibilinara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibilinara (au Kipilinara) ni lahaja ya Kingarinman ambayo ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kibilinara 15 tu, wakati wasemaji wa Kingarinman walikuwa watu 360, na lugha imo hatarini mwa kutoweka.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibilinara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.