Kibigambal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibigambal ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabigambal katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibigambal ilitoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibigambal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.