Kibete-Daloa
Mandhari
Kibete-Daloa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wabété. Isichanganywe na Kibete ya Nigeria. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibete-Daloa imehesabiwa kuwa watu 130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibete-Daloa iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidaloa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidaloa Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidaloa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bev
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibete-Daloa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |