Kibesme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibesme ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wabesme. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibesme imehesabiwa kuwa watu 1230. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibesme iko katika kundi la Kiadmawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibesme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.