Kiberakou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiberakou ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Waberakou. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiberakou imehesabiwa kuwa watu wawili tu. Kwa hiyo inawezekana kuwa lugha ya Kiberakou imeshatoweka kabisa sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiberakou iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiberakou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.