Nenda kwa yaliyomo

Kibekwarra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibekwarra ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabekwarra. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibekwarra imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibekwarra iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibekwarra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.