Kibegbere-Ejar
Mandhari
Kibegbere-Ejar ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabegbere-Ejar. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kiashe. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kibegbere-Ejar imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibegbere-Ejar iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibegbere kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibegbere Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibegbere katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bqv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibegbere-Ejar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |