Kibauzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibauzi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabauzi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibauzi imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibauzi iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibauzi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.