Kibatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibatu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabatu. Idadi ya wasemaji wa Kibatu imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatu iko katika kundi la Kitivoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.