Kibati (Indonesia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibati (pia Kigah) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabati kwenye kisiwa cha Seram. Isichanganywe na lugha ya Kibati izungumzwayo nchini Kamerun. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibati imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibati iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibati (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.