Kibateri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibateri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wabateri. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibateri nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu 28,300. Pia kuna wasemaji 800 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibateri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibateri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.