Kibatari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vibatari hutengenezwa kwa kutumia makopo yaliyotumika

Kibatari (kutoka neno la Kiajemi; pia huitwa koroboi) ni taa ndogo ya kopo au chupa yenye utambi inayotumia mafuta ya taa au dizeli kuwaka.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.