Kibassa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibassa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wabassa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibassa nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 403,000. Pia kuna wasemaji 5730 nchini Sierra Leone. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibassa iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibassa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.