Kibasa-Gumna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibasa-Gumna ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria iliyozungumzwa na Wabasa. Mwaka wa 1987 hakuna Wabasa waliobaki kuzungumza Kibasa-Gumna bali wote walibadili kuzungumza Kihausa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibasa-Gumna iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibasa-Gumna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.