Kibarababaraba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibarababaraba ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wabarababaraba katika jimbo la New South Wales. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kibarababaraba watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarababaraba kiko katika kundi la Kikulin cha Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarababaraba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.