Kibankagooma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibankagooma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wabankagooma. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibankagooma imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibankagooma iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibankagooma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.