Kibanjar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibanjar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabanjar kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibanjar nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu milipni tatu na nusu. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanjar iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibanjar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.