Kibandjalang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kibandjalang (kijani)

Kibandjalang (au Kibundjalung) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wabandjalang mpakani katikati ya majimbo ya Queensland na New South Wales. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kibandjalang ilihesabiwa kuwa watu 95, na lugha iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibandjalang kiko katika kundi lale lenyewe la Kibandjalang.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibandjalang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.