Kibandial

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibandial ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wabandial. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibandial imehesabiwa kuwa watu 11,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibandial iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibandial kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.