Kibanda-Mbres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibanda-Mbres ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabanda. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda-Mbres imehesabiwa kuwa watu 42,500. Pia kuna wasemaji wachache nchini Sudan Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda-Mbres iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibanda-Mbres kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.