Kibanda-Bambari
Mandhari
Kibanda-Bambari ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabanda. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda-Bambari imehesabiwa kuwa watu 183,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda-Bambari iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibambari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibambari Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibambari katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/liy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibanda-Bambari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |