Kibambalang
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kibambalang (lugha))
Kibambalang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabambalang. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kibambalang imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibambalang iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibambalang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibambalang Ilihifadhiwa 16 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibambalang katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibambalang
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibambalang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |