Nenda kwa yaliyomo

Kibambalang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibambalang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabambalang. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kibambalang imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibambalang iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibambalang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.