Kibalau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibalau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabalau. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibalau imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibalau iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibalau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.