Kibakoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibakoko ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabakoko. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibakoko imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibakoko iko katika kundi la A40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibakoko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.