Kibaka (Sudan Kusini)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kibaka (lugha ya Sudan))
Kibaka ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabaka. Isichanganywe na Kibaka cha Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kibaka kiko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibaka nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 65,000 na nchini Kongo 1,300.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibaka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibaka Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibaka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bdh
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibaka (Sudan Kusini) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |