Kibaka (Sudan)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibaka (lugha ya Kongo))

Kibaka ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabaka. Isichanganywe na Kibaka cha Kamerun. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibaka nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 25,000 na nchini Kongo 1,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaka iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaka (Sudan) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.