Kibagheli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibagheli ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wabagheli. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibagheli imehesabiwa kuwa watu 2,860,000 nchini Uhindi na 137,000 nchini Nepal. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibagheli iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibagheli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.