Nenda kwa yaliyomo

Kibafanji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibafanji (lugha))

Kibafanji ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabafanji. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kibafanji imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibafanji iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibafanji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.