Kibafanji
Mandhari
Kibafanji ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabafanji. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kibafanji imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibafanji iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibafanji kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibafanji Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibafanji katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibafanji
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibafanji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |