Kibada (Indonesia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibada ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabada kwenye kisiwa cha Sulawesi. Isichanganywe na lugha ya Kibada izungumzwayo nchini Nigeria. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibada imehesabiwa kuwa watu 6800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibada iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibada (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.