Kibaba
Mandhari
Kibaba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wababa. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kibaba imehesabiwa kuwa watu 24,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaba iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibaba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibaba Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibaba katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kibaba
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |