Kibaangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibaangi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabaangi. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibaangi imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaangi iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaangi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.