Kiayere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiayere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waayere. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiayere imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiayere iko katika kundi la Kidefoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiayere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.