Kiawyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiawyi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waawyi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiawyi imehesabiwa kuwa watu 350, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiawyi iko katika kundi la Kitaikat.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.