Kiawngthim
Mandhari
Kiawngthim ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waawngthim kwenye rasi ya Cape York katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiawngthim ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawngthim iko katika kundi la Kipama cha Kaskazini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiawngthim kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiawngthim Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiawngthim katika Glottolog
- lugha ya Kiawngthim katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiawngthim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |