Kiawera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiawera ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waawera. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiawera imehesabiwa kuwa watu 70, na wasemaji wameanza kuacha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiawera iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.