Kiavokaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiavokaya ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waavokaya. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiavokaya nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 40,000. Pia, mwaka wa 1989, kulikuwa wasemaji 25,000 nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiavokaya iko katika kundi la Kimoru-Madi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiavokaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.