Kiauye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiauye ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waauye. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiauye imehesabiwa kuwa watu 350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiauye iko katika kundi la “Wissel Lakes”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiauye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.