Kiatong (Kamerun)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiatong ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waatong. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiatong imehesabiwa kuwa watu 4200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiatong iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiatong (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.